Ndoa App ni application iliyo undwa kutokana na Kitabu. Kitabu hiki kimetokana na khutba aliyoitoa Sheikh Nurdin Kishki katika mskiti wa
Ihsaan vetenari, Tanzania tarehe 01/05/2009. kutokana na umuhimu wa khutba hii
kwa waislamu, Nyehunge IT Support waliamua kuikusanya khutba hiyo kutoka katika
kitabu kilichoandikwa na Saimu Gwao pamoja na Ukhti Fatma J ili kiwe na manufaa
kwa wasomaji. Endapo kutatokea makosa yoyote ya kimaandishi au ya kumnukuu
sheikh Nurdin Kishki vibaya, ieleweke kua hayo ni makosa ya kibinadamu ya
waandaaji.